價格:免費
更新日期:2019-02-10
檔案大小:2.8M
目前版本:1.0
版本需求:Android 4.0 以上版本
官方網站:mailto:kushwayne254@gmail.com
Tenzi za rohoni App ina nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni hivyo kukurahisishia kuwepo kwa kitabu hiki kila uendapo.
Yaliyomo:
★kukuza au kufifiza maandishi ili kukuwezesha kuziimba nyimbo vizuri
★nyimbo za kuvutia kama vile:
-bwana uliyewaita
-bwana mungu nashangaa
-bwana mungu nashangaa kabisa
-nina haja nawe
-hunificha
-habari njema
★yanayotarajiwa
-mahadhi au mwendo wa pigo
-kutafuta